Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Mbeya waliohudhuria mkutano wadharula Januari 19,2013 mkutano uliowaondoa madarakani viongozi wa Klabu ya waandishi wa habari mkoani humo.Mkutano huo ulikwisha kwa amani na utulivu lakini pia busara za Mkurugenzi wa UTPC zilikuwa ngao katika mkutano huo wa kuvutana hasa katika maadili ya uongozi,na sasa Klabu inaongozwa na viongozi wa muda kwa kipindi cha miezi minne kuanzia tarehe hiyo hadi mwezi Aprili tarehe kama hiyo mwaka huu
|