Tuesday, January 10, 2012

MATUKIO NA KWA PICHA NA JICHO LANGU BLOGU


 DJ SPEED AKIAMKA LEO ASUBUHI KATIKA MITAA YA KUJIFICHA MAMA JONI JIJINI MBEYA
 EDOMU MWASAMYA MWANDISHI HABARI AKIJIANDAA KUTOKA KUELEKEA TUNDUMA MAENEO YAKE YA KUJIFICHA GOMBE ITEZE JIJINI MBEYA
 GIFT NDULESI MTANGAZAJI WA REDIO USHINDI FM MBEYA AKIWA NEWSROOM
 MSURURU WA MAGARI MAENEO YA MAFIAT JIJINI MBEYA
 HAYA NANI MWEUSI JAMANI ILIKUWA  NI CHEMSHA BONGO TU.
 WATANGAZAJI WA REDIO USHINDI FM WAKIWA OFISINI
 GEORGE MWINGIRA NA MATTHEWA SASALI MAENEO YA ISYESYE JIJINI MBEYA
 MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI TAWI LA MBEYA JOSHUA MATAGANE AKIWA NA RAFIKI YAKE MWENYE BRIEFCASE
WAZIO MWANDISHI HABARI MKOANI MBEYA AKIWA KATIKA MISHE MISHE JIJINI MBEYA
 MATTHEW SASALI AKIFUATILIA JAMBO
 MATTHEW SASALI MENEJA WA REDIO USHINDI FM AKIZUNGUMZA JAMBO NA WADAU KULIA NI MCHUNGAJI MATONDO NA WENGINE NI KEVIN NYOROBI
GIFT NDULESI, KEVIN NYOROBI, MATTHEW SASALI WAKIPOKEA KITU KUTOKA KWA MCHUNGAJI SUNDAY MATONDO

No comments:

Post a Comment