![]() |
Kiongozi wa vita vya msituni nchini Angola na mwanzilishi wa joto la UNITA kwenye harakati ya kuikomboa Angola kutoka ukoloni wa Ureno, hayati Jonas Savimbi akiwa na hayati Nelson Mandela |
![]() |
Hayati Jonas Savimbi katika picha na matukio tofauti |
![]() |
Huu ndio mwili wa hayati Jonas Savimbi baada ya kuuawa vitani kwenye harakati za ukombozi wa kujikwamua mikononi mwa wakoloni wa Ureno |
![]() |
Rais Mzalendo wa kwanza Afrika ya Kusini, hayati Nelson Mandela akiwa na Rais wa kwanza wa Zambia Dr. Kenneth Kaunda |
![]() |
Nelson Mandela akiwapa salute wananchi wake |
![]() |
Nelson Mandela akiwa na Michael Jackson enzi za uhai wao |
![]() |
Ni siku ya kilio na majonzi siku Rais mzalendo Nelson Mandela alipotangazwa amefariki |
![]() |
Poleni: Pichani ni wajane wa Simba wa Afrika, Nelson Mandela |
![]() |
Mjane wa Nelson Mandela, Graca Machel akiwa na Askofu Desmond Tutu |
![]() |
Mkazi mmoja wa South Afrika akisaini kwenye uso wa picha wa Nelson Mandela |
![]() |
Kutoka kushoto ni aliyekuwa Rais wa kwanza wa Afrika Kusini hayati Nelson Mandela, katikati ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania Benjamin William Mkapa |
![]() |
Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania hayati Julius Kambarage Nyerere |
![]() |
Hayati Julius Kambarage Nyerere baada ya kupigania Uhuru wa Tanganyika |
![]() |
Kushoto ni Rais wa kwanza wa Afrika Kusini hayati Nelson Mandela akiwa na swahiba wake Rais wa kwanza Tanzania hayati Julias Nyerere jijini Dar es salaam |
![]() |
Baba wa Taifa wa Tanzania hayati Julius Kambarage Nyerere akiwa na Kwame Nkruma Rais wa kwanza wa nchi ya Ghana katika harakati za ukombozi wa nchi zao na Bara la Afrika |
![]() |
Tanzania na Afrika Kusini ni ndugu: Hayati Nyerere na hayati Mandela enzi za uhai wao |
![]() |
![]() |
![]() |
Picha inaonesha Ramani ya Bara la Afrika na mikono ikiachanisha Pingu kama ishara ya ukombozi wa Bara hilo kutoka mikononi mwa Ukoloni |
![]() |
Rangi za Bendera nchi ya Ghana iliyokuwa ikiongozwa na Rais hayati Kwame Nkruma |
![]() |
Hapa kuna Sam Nujoma wa Namibia, Dr. Keneth Kaunda wa Zambia, Samora Machel wa Msumbiji, Julius Kambarage Nyerere wa Tanzania, Robert Mugabe wa Zimbabwe na Jonas Savimbi wa Angola |
![]() |
Nyerere na washirika wake |
![]() |
Samora Machel na mwenyeji wake nchini Zambia, Dr. Kenneth Kaunda |
![]() |
Katika kundi hili ni Robert Mugabe na Dr. Kenneth Kaunda ambao bado wapo hai |
![]() |
Samora Machel |
![]() |
Kushoto ni aliyekuwa Rais wa kujitegemea wa Msumbiji hayati Samora Machel na kulia ni hayati Nelson Mandela |
![]() |
Nyerere na Machel |
![]() |
Hayati Samora Machel |
No comments:
Post a Comment