Wednesday, September 12, 2012

HAPA ENEO LA MAFIATI MWANJELWA NDIPO YALIPO ANZIA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UHINDINI


 Sasa Live waandishi wa habari wakiwa wanajipanga kuendelea na Maandamano sasa kushoto wa kwanza ni Mwandishi mkuu wa Mbeya yetu ndugu Joseph Mwaisango.
 Safari sasa ndio inaanza hapa ya Maandamano 
 Baadhi ya waandishi wakiwa wanaendelea kutumiana ujumbe wa kufika pamoja kwa ajili ya maandamano 
 Sasa wanaendelea na maandamano 

 Akina dada waandishi nao hawapo nyuma wapo bega kwa bega katika maandamano 

 Sasa safari inaendelea 
 Kama inavyo onekana hapa waandishi wanachukua matukio yao ya kuweka kwa taarifa baadae, huku Mbeya yetu tukilileta Live 

Sasa wanaendelea na maandamano

No comments:

Post a Comment