Sasa maandamano yanapita maeneo ya Ujenzi huko Magari mengine yakiwa pembeni.
Waandishi wakiwa wanaendelea na maandamano kuelekea mjini, Haya ni maandamano ya amani
Liveee!!!! RPC mkoa wa Mbeya akiwa anakatiza Mbele ya maandamano ya waandishi wa Habari
RPC Huyoo anakatiza zake huku maaandamano yanaendelea
Sasa Gari la RPC Linaishia zake wakati waandishi wanaendelea na maandamano, ikumbukwe ni maandamano ya amani tu.
Sasa maandamano yapo eneo la Lift Valley
No comments:
Post a Comment