Thursday, March 1, 2012
Mgeni rasmi katibu tawala wa wilaya Rungwe Moses Mmdede akifungua mkutano huo wa mwaka wa wakulima wadogo wa chai kushoto ni mwenyekiti wa chama hicho Bwana Jonson Mwakasege |
Mkurugenzi wa chama cha wakulima wadogo wa chai Bwana Leby Hadson akisoma taarifa ya mwaka katika mkutano huo |
Mhasibu wa chama hicho Bwana Juma Liganga akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya mwaka katika mkutano huo |
Baadhi ya wanachama wa chama cha wakulima wadogo wa chai wakimsikiliza mgeni rasmi |
Hii ndiyo bodi ya chama cha wakulima wadogo wa chai Rungwe |
Mkutano unaendelea |
No comments:
Post a Comment