JICHO LANGU BLOGU
Wednesday, March 7, 2012
BIBI KIZEE(92)AKIFANYA MAZOEZI KUUWEKA MWILI KATIKA AFYA NJEMA
Mwanzo wake katika mfululizo wa picha hizi
Anakwenda hatua kwa hatua ili kuuweka fit mwili
Kama ana lilax baada ya kuukunjakunja mwili wake
Mbali ya umri wake mkubwa lakini anauwezo wa kucheza mchezo wa Samba
Bado anaendeleza mchezo wa Samba, sambamba na kijana mtabnashati
Ona alivyojikunja ni vikongwe wachache wenye uwezo huu
Bado mchezo ni mkali ukiachia mbali umri wake mkubwa wa miaka 92
Hapa amesimamia shingo
Anasema anao uwezo mkubwa wa kuonyesha mitindo mingi ila basi tu
Hapa anamshukuru Mungu kwa yote katika maisha yake
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment