Thursday, March 1, 2012

TAIFA STARS YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI-MWANZO MWISHO

Wednesday, February 29, 20

Mchezaji Nizar Khalfan wa timu ya Taifa Stars akichuana na mchezaji Fransisco Masinga wa Msumbiji The "Mambas" wakati wa mchezo wao wa kuwania kufuzu katika fainali za kombe la mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini Afrika Kusini hapo mwakani
 
Wachezaji wa Msumbiji na Taifa Stars wakiwania mpira wakati wa mchezo wao uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam januari 29,Taifa Stars ilishindwa kuutumia vema uwanja wa nyumbani na kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1.

No comments:

Post a Comment