Mambo juu ya mambo,ni kujirusha kwa kwenda mbele Hadi raha ,lakini yote haya ni kwaajili ya mambo ya fedha Huenda isiishie kuwa ndoto kwako jipe moyo utayafikia haya Usidanganyike ndugu yangu umaarufu si bure ni ghari Ukilazimisha mambo ya kuiga unaweza kuishia kipondo na kifo ,chukua tahadhari Wabongo wetu wanalewa sifa, ni vigumu kuwafikia mastaa kama hawa |
No comments:
Post a Comment