
MKUU
WA MKOA WA MBEYA MH.ABASI KANDORO AKIKABIDHIWA TUZO KUTOKA KWA MWENYE
KITI WA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA KWA USHIRIKIANO WAKE NA WANA
HABARI MKOA WA MBEYA.

MKUU WA MKOA WA MBEYA AKIMKABIDHI TUZO YA UANDISHI BORA WA HABARI NDUGU FELIX MWAKYEMBE MKOA WA MBEYA NA TAIFA KWA UJUMLA

PASTA KALULUNGA WA BLOG YA KALULUNGA AKIPOKEA TUZO MUDA HUU

MWANDISHI WA HABARI ESTER MACHA AKIPOKEA TUZO YAKE MUDA HUU

MWANDISHI WA HABARI KAMANGA NAE AKIPOKEA TUZO YAKE MUDA HUU.. KAMANGA PIA ANAMIRIKI BLOG YA KAMANGA NA MATUKIO

RASHIDI MKWINDA WA GAZETI LA MAJIRA NAE ANAPOKEA TUZO YAKE MUDA HUU

PICHA YA PAMOJA WAANDISHI WA HABARI NA MKUU WA MKOA MUDA HUU
ENDELEA KUFUATILIA
No comments:
Post a Comment