MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KATKA MFULULIZO WA MAFUNZO YA HABARI ZA UCHOKONOZI KWENYE UKUMBI WA HOTEL YA
MKURU AMBAPO MGENI KATTBU TAWALA MKOA WA MBEYA MARIAM MTUNGUJA
AMEYAFUNGUA RASMI KWA KUWAPONGEZA WAANDISHI HAO KWA KUJIONGEZEA UWEZO
ZAIDI KWA MAFUNZO HAYO
KATIKA HOTUBA HIYO AMEZUNGUMZIA MENGI IKIWEMO WATU KUTOPENDA KUAMBIWA
UKWELI KWAKUA MTU HUPENDA KUJIANGALIA MBELE LAKINI NYUMA HAWAWEZI
KIJIONA" NATAKA KUSEMA MWANDISHA WA HABARI NI KIOO CHA JAMII HIVYO NI
VEMA KUWA NA WAANDISHI WENYE UWEZO NA UWELEWA" AMESEMA MTUNGUJA
PIA AMEWATAKA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUAJIRI WAANDI WA HABARI
WALIOSOMEA TASINIA HII ILI KUONDONGOKANA MIGONGANO YA INAYO SABABISHWA
NA WAANDISHI WASIO NA TAALUMA HII
MWISHO AMETOA WITO WA KUSHIRIKIANA VEMA NA WAANDISHI PIA VYOMBO VYA HABARI ATATOA USHILIKIANO WA KUTOSHA KWAO.
MWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLUB CHISTOPHA NYENYEMBE AKIMKARIBISHA
MRATIBU WA (UTPC) VICTOR MALEKO AMKARIBISHE MGENI RASMI AZUNGUMZE NA
WAANDISHI WA HABARI
MRATIBU WA UMOJA WA CLUB ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA (UTPC) VICTOR
MALEKO AKIMUELEZA MACHACHE MGENI RASMI JUU YA MPANGO WA KUWAWEZESHA
KITAALUMA WAANDISHI WA HABARI NA KISHA KUMKARIBISHA AZUNGUMZE NAO.
MGENI RASMI MARIAM MTUNGUJA
KATIBU TAWALA MKOA WA MBEYA MARIAM MTUNGUJA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
WAANDISHI WA HABARI WAKISIKILIZA KWA MAKINI
MKUFUNZI AKIMSHUKURU MGENI RASMI KWA HOTUBA YAKE KWA WAANDISHI
PICHA YA PAMOJA YA WAANDISHI WA HABARI WANAOHUDHURIA MAFUNZO HAYO
MGENI RASMI ANAAGANA NA WAANDISHI NA KUONDOKA.
No comments:
Post a Comment