Saturday, August 4, 2012

UNAWEZA KUWA UMEFIKA ULAYA JAPO KWA KUANGALIA PICHA TU-FUATANA NA MTANDAO WA JICHO LANGU BLOGU

Wabongo tujitahidi kuyafikia mazingira haya

Je kodi za wananchi wa Bongo(Tanzania)zitawafikisha hapa walipo wenzetu?

Katika hali ya kuuweka mwili katika afya njema,lakini yataka moyo kwani umbali wa hapo alipo hadi kuifikia ardhi ni hatari kama akiteleza

No comments:

Post a Comment