
Nakala
ya barua ya askari Dunga kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Nakala ya barua
inaendelea hapa Baadhi ya wananchi na maaskari wakijadiliana jambo
kwenye mwili huo wa Afande DungaDanstan Shekidele Siku chache kabla ya
kifo chake askari polisi mwenye namba F 3276, Donald Mathew (33),
aliyejinyonga juu ya mti katika daraja la Shani, mkoani Morogoro
alimwandikia barua Waziri wa Mambo ya Ndani kueleza kinachodaiwa kuwa
ni ufisadi unaofanywa na vigogo wa polisi nchini, imebainika.
Polisi huyo aliyefahamika sana kwa jina la Dunga aliwahi kutoa tuhuma
nzito dhidi ya maofisa, wakaguzi na polisi wa kawaida, mkoani Morogoro
mwaka jana lakini...
No comments:
Post a Comment