UKISOMA barua ya Afande Dunga aliyomuandikia Waziri wa mambo ya
ndani[isome hapo chini] pamoja na mambo mengine aliwashutumu askari
wenzake kumua
mfanyabiashara maarufu jijini Dar es salaam J.B na wenzake eneo la nane
nane mkoani hapo miaka kadhaa iliyopita.
Pichani ni mwili wa J B ukivuja damu baada ya kupigwa risasi na Polisi
akidaiwa kuwa ni jambazi,picha hii niliipiga chumba cha kuhifadhia
maiti hospital ya mkoa wa Morogoro,picha hii na zamaremu wengine
aliokuwa nao JB ziko kwenye maktaba yangu ya picha.
KABLA ya kufikwa na mauti Afande Donald Julius Mathew'Dunga'[33]
alimpatia barua (Mwandishi wa habari Dustan Shekidele)...
No comments:
Post a Comment