TABASAMU KAMA HILI IKIWA NI SEHEMU YAKO YA MAISHA UNAWEZA KUJIONGEZEA SIKU ZA KUISHI
Wakati wote jenga tabia ya kutabasamu,kuna faida nyingi kufanya hivi moja wapo ni kuficha dhiki zako na kumfanya mwingine ashindwe kujua una matatizo gani hata kama unanjaa ya kufa pia utaepuka maradhi ya msongo wa mawazo
No comments:
Post a Comment