HII MAANA YAKE NINI, MAMA YUPO WAPI NA NINI MADHARA BAADA YA HAPO,HII SI SAHIHI TUBADILIKE
Haya si mambo baada ya kunyonya hayo maziwa ni nini kitafuata ikieleweka kuwa wakati wote mazingira kama haya si salama na mnyama kama huyu hakosi magonjwa,nakudokezeni hata TB hapo ipo
No comments:
Post a Comment