Saturday, January 28, 2012

JIFUNZE KATIKA PICHA KUPITIA BLOGU HII YA KIJAMII YA JICHO LANGU


Je, huyu dada anawezaje kupita mitaa ya kwetu na ni nini kitatokea? JICHO LANGU BLOGU haipendi kuona dada zetu wa kibongo wakiwa katika hali ya namna hii, mambo ya mamtoni tuwaachie wenyewe

Mavazi waliyovalia hawa vigoli wa Kidosi ni sehemu ya utamaduni wao lakini kwa wabongo eti ni fasheni

Ni lini watanzania tutafikia hatua hii ya ujenzi wa madaraja yetu, katika miaka hamsini ya Uhuru wetu haijatokea kitu kama hiki labda miaka hamsini ijayo endapo siasa zetu zitabadilika na kuelekeza nguvu zake kwa maaslahi ya Taifa

No comments:

Post a Comment