Sunday, January 29, 2012
VICK TEREMSHA AFANYIWA MAOMBI
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI VICK TEREMSHA AMEFANYIWA MAOMBI LEO KATIKA SIKU MAALUM YA KUADHIMISHA MIAKA 5 YA KANISA LA RICC KUTOKANA NAA MCHANGO WAKE TANGU LILIPOANZA MWAKA 2008
MCHUNGAJI MATONDO WA RICC AKIWA NA VICK TEREMSHA
MCHUNGAJI MATONDO AKIZUNGUMZA MACHACHE KUHUSU VICK TEREMSHA
MCHUNGAJI MATONDO AKIMWELEZEA ZAIDI VICK TEREMSHA
VICK TEREMSHA AKISHANGILIA JAMBO
WACHUNGAJI WAKIFANYA MAOMBI KWA AJILI YAKE
MIONGONI MWAO ALIKUWA MCHUNGAJI MATTHEW SASALI
MCHUNGAJI MATONDO NAYE AKIMWOMBEA KWA MUNGU AMFANIKISHE
No comments:
Post a Comment