Tuesday, January 10, 2012

KIJIVAZI CHAMPONZA MDADA

MWANADADA aliyevaa kaptula fupi akiwa anaokolewa na wasamalia wema katika eneo la Mwanjelwa Jijini Mbeya baada ya wananchi kumzomea huku wengine wakithubutu kutaka kumpiga, wakipinga vazi hilo ambalo mabinti wengi wanaamini kuwa ni vazi la kisasa tukio hilo lilitokea mwamzoni mwa mwezi januari 2012.

No comments:

Post a Comment